
Leo tarehe 26 Septemba 2024, Naibu Balozi ambae pia ni Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano wa Denmark nchini Tanzania Lise Abildgaard Sorensen ametembelea ofisi za TAMWA Zanzibar zilizopo Tunguu, Wilaya ya Kati Unguja na kufanya mazungumzo na watendaji wa ofisi hiyo wakiongozwa na Mkurugenzi wa TAMWA ZNZ Dkt Mzuri Issa.