Wandishi wa habari wote wa Zanzibar tunawahimiza kuchangamkia fursa hii muhimu kwa kuwasilisha maombi yanu kwa wakati.
Tuzo hizi zinatolewa katika makundi mawili, ambayo ni:
Waandishi wa habari, na Vyombo vya habari.
Mwisho wa kuwasilisha form za maombi ni tarehe 25 Februari 2026.
Ahsanteni kwa ushirikiano.
Fomu ya ushiriki kwa waandishi wa habari.
πππ https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSe7bUAb8NuFngrwF8QMRvbI2WgViRX5k2_ziY5k7S5P3mI_ZA/viewform?usp=dialog
Fomu ya ushiriki kwa ajili ya vyombo vya habari.
πππ https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSf1koBirzFta-uXp47ddGvVHKcdEO4sGjJZIPY9lPVwjo436Q/viewform?usp=dialog
