Edit Content

About Us

TAMWA is a national level Non-Governmental Organization known as Tanzania Media Women’s Association formed in 1987. TAMWA Zanzibar became fully self-governing and operational in both Isles of Unguja and Pemba since 2004. In January 2007, it attained its own separate registration.

Contact Info

TAMWA ZNZ, Idara ya Michezo WEMA, ZAFELA, GIZ na CYD Kuandaa Mtoto wa Afrika Marathon

TAMWA ZNZ, Idara ya Michezo WEMA, ZAFELA, GIZ na CYD Kuandaa Mtoto wa Afrika Marathon


Ni katika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika Zanzibar
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWAZNZ)kwa kushirikiana na Idara ya Michezo, Jumuiya ya Wanasheria WanawakeZanzibar (ZAFELA), Taasisi ya Maendeleo ya Mashirikiano ya Ujerumani (GIZ)na Kituo cha Mijadala kwa Vijana (CYD), inatarajia kuadhimisha yasikuyakimataifa ya Mtoto wa Afrika tarehe 29 Juni 2024 kwa kuandaa mashindanoya riadha kwa wanafunzi wa skuli mbalimbali za Zanzibar. Maadhimisho hayo yatawahusisha jumla ya washiriki 150 ambapo kati yahaowatakaoshiriki mashindano ni wanafunzi 75 kutoka katika skuli zaUngujaambazo zimeshajiandaa kushiriki mashindano hayo. Tukio hili muhimu ambalo linalenga kuhamasisha usawa wa kijinsiakatikamichezo litawaleta pamoja wadau kutoka taasisi za kierikali na zisizokuwazakiserikali ikiwemo wanafunzi kutoka skuli mbalimbali za Unguja, wanamichezo,walimu wa michezo, na wadau wote wa masuala ya usawa wa kijinsia. Maadhimisho haya yanatoa fursa kwa wasichana kuonesha vipaji vyaonauwezo wao wa kushiriki katika michezo mbalimbali, pamoja nakujadili
changamoto na vikwazo vinavyowazuia kushiriki katika michezo nakuhimizauanzishwaji wa madawati ya jinsia katika taasisi za michezo. Mashindano haya ya riadha yataanza saa 12 na nusu asubuhi, yakianziamaeneo ya Forodhani na yataishia katika viwanja vya Mnazi MmojaZanzibaryakishirikisha wanafunzi wa jinsia zote kutoka skuli mbalimbali za Unguja. Kaulimbiu ya wadau katika maadhimisho ya mwaka huu ni “Wakati ni sasa!Wekeza katika elimu na michezo kwa watoto wote”. Tukiohili
linatarajiwa kuleta mwamko na kuhamasisha jamii kuhusu umuhimuwakuwapa nafasi sawa watoto wote kushiriki katika michezo, bila kujali jinsiazao.
www.tamwaznz.or.tz
Mashindano hayo yatatoa washindi watatu zaidi wanawake nawatatuwanaume na kutambuliwa rasmi. Tunaamini kuwa michezo ni nyenzo muhimu ya kuleta usawa wa kijinsianakuwawezesha watoto wa kike na wa kiume kujifunza stadi za maisha, kujengaujasiri, na kushirikiana kwa amani na kuheshimiana. Tunawaalika wanahabari, wazazi, walezi, na wananchi wote kujitokezakwawingi kushuhudia na kuunga mkono tukio hili la kihistoria katika kukuzausawawa kijinsia na kuwawezesha watoto wote kufikia ndoto zao katikaNyanjambali mbali bila vizuizi vyovyote. Imetolewa na Idara ya mawasiliano, TAMWA ZNZ.
info@tamwaznz.or.tz
www.tamwaznz.or.tz

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Subscribe to our
News and Presses

***We Promise, no spam!

A national level Non-Governmental Organization known as Tanzania Media Women’s Association formed in 1987.The registration number is 493 under Zanzibar Society Act No. 6 of 1995

We’re Available

Monday : 08.00 - 10.00
Tuesday : 08.00 - 10.00
Wednesday : 08.00 - 10.00
Thursday : 08.00 - 10.00
Friday : 09.00 - 07.00
Saturday : 10.00 - 05.00
Sunday : 10.00 - 05.00