
Lengo la ziara hii ni kukagua maendeleo ya programu na kukutana na waandishi wa habari wachanga na kubadilishana mawazo katika baadhi ya mada ambazo wameziandaa kwa ajili ya kufanya uchechemuzi kwenye masuala ya wanawake na uongozi kwa ujumla.
@nedemocracy