Akichangia mada katika mjadala kwenye maadhimisho hayo amesema, “vyama vingi vya siasa haviwasaidii Wanawake kundokana na viti maalum.”
“Kuna mtu unakuta yupo amegombea kiti maalum miaka mitano hii na mingine na bado yupo hapo hapo wakati inatakiwa mtu agombee miaka mitano ajifunze kisha atoke aende akagombee jimboni.”
Je, ni yapi maoni yako kuhusu nafasi za viti maalum kwa Wanawake?