TAMWA ZANZIBAR SUCCESS STORIES

Get the latest PRESS RELEASE and top news about TAMWA ZANZIBAR

“Wanawake wenye nia ya kugombea nafasi ya uongozi kuepuka unyanyasaji mitandaoni”
02Oct

“Wanawake wenye nia ya kugombea nafasi ya uongozi kuepuka unyanyasaji mitandaoni”

Wanawake wenye nia ya kugombea nafasi za uongozi nchini wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi za uongozi na kuepuka vikwazo vinavyyowekwa na baadhi ya watu wenye nia ya kurudisha nyuma ushiriki wa wanawake wa kufikia lengo la usawa wa 50 kwa 50…

Vikundi vya Hisa Kuwasaidia Watu wenye ulemavu kujua haki zao
26Jun

Vikundi vya Hisa Kuwasaidia Watu wenye ulemavu kujua haki zao

KWA muda mrefu watu wenye ulemavu wanakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa elimu ya masuala ya kifedha kulingana na hali zao jambo ambalo linawafanya kushindwa kushughulikia vikwazo vyao katika jamii. Katika kubakiliana na hilo, jumla ya vikundi 20 vya kuweka…

Champion Data Journalism Award 2024
14Mar

Champion Data Journalism Award 2024

Winners in various categories received their accolades during the award ceremony for outstanding journalists in data journalism on women and leadership, held on March 9th at the SHAA Hall in Zanzibar.

A STORY OF MS. FAIDA MOHAMMED SHAIBU
21Nov

A STORY OF MS. FAIDA MOHAMMED SHAIBU

Ms. Faida Mohammed Shaibu is a 30 year old business woman who joined Women Empowerment in Zanzibar (WEZA II) project in 2016 through her group known as Tusaidiane II based in Mwera, Central district. Initially Ms. Faida was selling crips…