KUTOKA MAFUNZO HADI KUJITEGEMEA: VIKUNDI VYA KIJALUBA ZANZIBAR VYAGEUZA UJUZI KUWA FURSA ZA KIUCHUMI
Kikundi cha Tuwezeshwe chaanza kuvuna matunda ya juhudi zake baada ya kuuza vicha 420 vya mchicha na kupata mapato ya shilingi 420,000.Kikundi cha Tuwezeshwe, miongoni mwa vikundi vya ujasiriamali vya KIJALUBA iSAVE, kimeonesha namna mafunzo ya ujasiriamali na stadi za…
