TERMS OF REFERENCE (TOR) TO CUNDUCT MEDIA GAP ANALYSIS: WOMEN’S EQUALITY AND LEADERSHIP OF NATURE-BASED CLIMATE ADAPTATION IN ZANZIBAR. Post Title: Consultant Project Title: ZanzAdapt Project Location: Zanzibar Assignment period: 20/30 days Post Date: 10th May, 2024 Deadline: 20th May…
DATE OF ISSUE: 22nd APRIL, 2024 1.0 INTRODUCTION: Tanzania Media Women’s Association (TAMWA) was established in 1987. TAMWA ZNZ became fully self-governing and operational in both Isles of Unguja and Pemba in 2004. TAMWA’s mission is to advocate for women’s and…
Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa habari Wanawake Tanzania Zanzibar (TAMWA – ZNZ) Dkt Mzuri Issa amewataka wahariri wa vyombo vya habari kutumia kalamu zao kushawishi mamlaka zinazohusika na mapitio ya Sheria na Sera za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi…
Waandishi wa habari wana haki ya kupata taarifa na kuhoji baadhi ya mambo ambayo ni vikwazo vinavyowakabili wao na jamii kwa ujumla kwa lengo la kuleta mabadiliko na maendeleo endelevu katika nchi. Mkurugenzi wa Chama cha waandishi wa habari Tanzania…
TAMWA- ZANZIBAR YAWAJENGEA UWEZO WAANDISHI WA HABARI KUANDIKA HABARI ZA USAWA WA KIJINSIA NA MABADILIKO YA TABIANCHI Jumla ya waandishi wa habari 30 wa Unguja na Pemba kutoka vyombo mbalimbali vya habari wamepatiwa mafunzo ya siku mbili kuweza kuandika kwa…
Katika juhudi za kuimarisha ushiriki wa wanawake katika uongozi na kukuza haki za kidemokrasia, Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA- ZNZ) kimetoa mafunzo ya siku mbili kwa Wahamasishaji Jamii (Citizen Brigades) wapatao 60 kwa upande Unguja ambapo…
8/11/2024 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIZAMECO KULAANI UTENGENEZWAJI NA USAMBAZWAJI WA MAUDHUIYASIOFAA KATIKA MITANDAO YA KIJAMIIKamati ya wataalamu wa masuala ya Habari Zanzibar (ZAMECO) inayoundwa na Chamacha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA- Zanzibar), Baraza la HabariTanzania (MCT), Jumuiya ya…
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: TAMWA ZNZ yazindua Tuzo ya uwiano wa kijinsia kwa Vyombo vyaHabari: “Kalamu Yangu, Mchango Wangu kwa Wanawake.” Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kwakushirikiana na Jumuiya ya Wanawake wenye Ulemavu Zanzibar…
7/11/2024 Jumla ya waandishi wa habari 30 wa Unguja na Pemba kutoka vyombo mbalimbali vya habari wamepatiwa mafunzo ya siku mbili kuweza kuandika kwa umahiri habari za wanawake na uongozi katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Mafunzo hayo yameandaliwa na…
Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (tamwa – zanzibar) P. O. Box 741 Tunguu Zanzibar, info@tamwaznz.or.tz: www.tamwaznz.or.tz JOB VACANCY DATE: 28th OCT, 2024 POST: OFFICE COORDINATOR LOCATION: PEMBA Tanzania Media Women’s Association (TAMWA), Zanzibar calls for applications from committed…
16/10/2024.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:WATOTO WA KIKE WASHIRIKISHWE KWENYE UONGOZIChama cha Waandishi wa habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kwakushirikiana na Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA), Jumuiya yaWanawake wenye Ulemavu Zanzibar (JUWAUZA) na Jumuiya ya Mazingira, Jinsia naUtetezi Pemba…
Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike duniani, wadau wa michezo kwamaendeleo Zanzibar ambao ni Jumuiya ya wanasheria wanawake Zanzibar (ZAFELA),Kituo cha mijadala kwa vijana (CYD) na Chama cha Waandishi wa Habari WanawakeTanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kwa kushirikiana…