TERMS OF REFERENCE (TOR) TO CUNDUCT MEDIA GAP ANALYSIS: WOMEN’S EQUALITY AND LEADERSHIP OF NATURE-BASED CLIMATE ADAPTATION IN ZANZIBAR. Post Title: Consultant Project Title: ZanzAdapt Project Location: Zanzibar Assignment period: 20/30 days Post Date: 10th May, 2024 Deadline: 20th May…
DATE OF ISSUE: 22nd APRIL, 2024 1.0 INTRODUCTION: Tanzania Media Women’s Association (TAMWA) was established in 1987. TAMWA ZNZ became fully self-governing and operational in both Isles of Unguja and Pemba in 2004. TAMWA’s mission is to advocate for women’s and…
Meneja miradi kutoka Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) Nairat Abdulla amewaomba wanawake kutumia vyombo vya habari kwa lengo la kutangaza kazi zao wanazozifanya.Akifungua mafunzo ya siku mbili ya kuwajengea uwezo wakulima viongozi kutoka shehia nne…
Kupatikana kwa sheria mpya na rafiki ya habari visiwani Zanzibar kutasaidia kuweka mazingira bora ya kazi kwa waandishi wa habari, kwa kuhakikisha ulinzi na ushiriki wao unapatikana kikamilifu hususan katika kipindi cha uchaguzi.Akizungumza katika mkutano maalum ulioandaliwa na TAMWA-ZNZ kwa…
TERMS OF REFERENCEPost Title: ConsultantAssignment: To adapt and operationalize the SHIJUWAZA Advocacy Strategy bydeveloping a behavior change-focused strategy that increases the participation ofpersons with disabilities in household and community decision-making processes.Project Title: Human Rights Advocacy & Organisational DevelopmentLocation: Zanzibar.Date: 02nd…
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARITAREHE: 28 MEI 2025WAANDISHI WA HABARI 8 WAIBUKA KIDEDEA TUZO ZA UMAHIRI KATIKA UANDISHI WA HABARI ZA TAKWIMU ZANZIBAR• Redio jamii Pemba zaibuka kidedea kwa kuendeleza misingi ya usawa wa kijinsia, wakifuatiwa na gazeti la Zanzibar…
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE: 28 MEI 2025 WAANDISHI WA HABARI 8 WAIBUKA KIDEDEA TUZO ZA UMAHIRI KATIKA UANDISHI WA HABARI ZA TAKWIMU ZANZIBAR Jumla ya waandishi wa habari wanane (8) na vyombo vya habari vitatu (3) wameibuka kidedea…
UBALOZI WA KANADA NCHINI TANZANIA kupitia kitengo cha Mashirikiano imepongeza hatua zilizofikiwa na watekelezaji wa mradi wa kuwawezesha wanawake na uongozi katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi (Zanzadapt) wakiwemo Jumuia ya uhifadhi wa misitu Pemba (CFP), Chama cha Waandishi wa…
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIMKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU TUZO ZA UANDISHI WA HABARI ZA TAKWIMU (DATA JOURNALISM AWARDS 2025)Tarehe: 19 Mei 2025Ndugu waandishi wa habari,Napenda kuwashukuru kwa kuitikia wito wetu na kwa kazi kubwa mnayoendelea kufanya ya kuhabarisha…
ZAMECO YAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA HABARI DUNIANI Kamati ya Wataalamu wa Masuala ya Habari Zanzibar (ZAMECO) imeadhimisha Siku ya Uhuru wa Habari Duniani leo Mei 17, katika ukumbi wa RAHALEO STUDIO ambapo waandishi, wadau wa habari pamoja na wawakilishi…
MEI 14, 2025TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA ZAMECOMAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANIZanzibarKamati ya Wataalamu wa Masuala ya Habari Zanzibar (ZAMECO) imesema Maadhimishoya Siku ya Uhuru wa Habari Duniani yanategemewa kufanyika Jumamosi tarehe 17 Mei,2025…
to Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania P. O. Box 741, Tunguu, ZanzibarMobile No: 0772378378info@tamwaznz.or.tz TITLE OF ACTIVITY: PRODUCTION OF VIDEO ANIMATIONPROJECT: ADVANCING MEDIA ADVOCACY TO RURAL AND URBAN WOMEN AND GIRLS’ IN SEXUAL REPRODUCTIVE HEALTH RIGHTS (SRHR) IN…