Wadau wa habari wakutana na Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania (TAMWA ZNZ) Dkt. Mzuri Issa amesema kuwa ni muhimu kuwa na sheria nzuri za habari ambazo zinapelekea kuwepo kwa uhuru wa habari…
TAMWA-ZNZ yaomba mkakati wa kitaifa kubadilisha tabia kwa vijana. CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kinashauri kuandaliwa kwa mkakati wa kitaifa wa kubadilisha tabia za vijana ili kuwanusuru na kutumbukia katika vitendo vya udhalilishaji. Kwa mujibu…
UZINDUZI WA WARAKA WA MAPENDEKEZO YA SHERIA ILI WANAWAKE WENGI WASHIKE NAFASI ZA UONGOZI. Asasi za kiraia zinazotetea haki za wanawake Zanzibar kwa pamoja zitazindua waraka wa mapendekezo ya sheria ambao una lengo la kuwawezesha wanawake wengi kupata haki ya…