Edit Content

About Us

TAMWA is a national level Non-Governmental Organization known as Tanzania Media Women’s Association formed in 1987. TAMWA Zanzibar became fully self-governing and operational in both Isles of Unguja and Pemba since 2004. In January 2007, it attained its own separate registration.

Contact Info

Category: PressRelease

WATOTO WA KIKE WASHIRIKISHWE KWENYE UONGOZI

WATOTO WA KIKE WASHIRIKISHWE KWENYE UONGOZI

16/10/2024.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:WATOTO WA KIKE WASHIRIKISHWE KWENYE UONGOZIChama cha Waandishi wa habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kwakushirikiana na Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA), Jumuiya yaWanawake wenye Ulemavu Zanzibar (JUWAUZA) na Jumuiya ya Mazingira, Jinsia naUtetezi Pemba…

MAADHIMISHO YA SIKU YA HAKI YA KUJUA DUNIANI

MAADHIMISHO YA SIKU YA HAKI YA KUJUA DUNIANI

Zanzibar- Sept 28, 2024Siku ya haki ya kujua huadhimishwa kila mwaka ifikapo tarehe 28 Septemba, kwalengo la kukuza uelewa kwa wananchi na hata waandishi wa habari juu ya haki hii,kwani imekuwa ni changamoto kupata taarifa muhimu pale wananchi au waandishiwa…

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

TAMWA ZNZ YAWAPONGEZA TIMU YA WARRIOR QUEENS KUSHIRIKI MECHI YA KLABU BINGWA AFRIKA, ETHIOPIA Watekelezaji wa program ya Michezo kwa Maendeleo (S4D) wanawatakia kila la kheri timu ya Warrior Queens ya Saateni, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja katika mashindano ya…

BONANZA LA MICHEZO NA MAZOEZI KUFANYIKA PEMBA

BONANZA LA MICHEZO NA MAZOEZI KUFANYIKA PEMBA

BONANZA LA MICHEZO NA MAZOEZI KUFANYIKA PEMBA: JULAI20 – 28, 2024Katika kuadhimisha miaka 10 ya klabu ya mazoezi ya Gombani(Gombani Fitness club), klabu hiyo kwa kushirikiana naChamaChaWaandishi wa Habari Wanawake Tanzania Zanzibar (TAMWA-ZNZ)na Shirika ka Bima la Zanzibar wameandaa bonanza…

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA ZAMECO

Kamati ya Wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO) inapendakuwashukuru wadau wote wa habari na mashirika ya utetezi wa haki zabinaadamu kwa kushiriki katika maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombovya Habari duniani tarehe 3 Mei ambapo kwa Zanzibar yalifanyika…

Subscribe to our
News and Presses

***We Promise, no spam!

A national level Non-Governmental Organization known as Tanzania Media Women’s Association formed in 1987.The registration number is 493 under Zanzibar Society Act No. 6 of 1995

We’re Available

Monday : 08.00 - 10.00
Tuesday : 08.00 - 10.00
Wednesday : 08.00 - 10.00
Thursday : 08.00 - 10.00
Friday : 09.00 - 07.00
Saturday : 10.00 - 05.00
Sunday : 10.00 - 05.00