Kamati ya Wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO) inapendakuwashukuru wadau wote wa habari na mashirika ya utetezi wa haki zabinaadamu kwa kushiriki katika maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombovya Habari duniani tarehe 3 Mei ambapo kwa Zanzibar yalifanyika…
A total of 529 works of journalists from various media outlets have been submitted for consideration in the competition for data journalism excellence awards for women’s leadership reporting. Among these works are radio and television programs, newspaper articles, and content…
Kazi 529 zapokelewa kuwania tuzo za umahiri za uandishi wa habari za takwimu za wanawake na uongozi.
JUMLA ya kazi 529 za waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari zimewasilishwa kwa ajili ya kuwania tuzo za umahiri za uandishi wa habari za takwimu za wanawake na uongozi. Miongoni mwa kazi hizo ni pamoja na vipindi vya…
Tunapouanza mwaka 2024, tunaiomba Serikali, wadau mbalimbali na jamii kuweka mikakati ya pamoja itakayosaidia kupunguza vitendo vya udhalilishaji ambavyo vinawaathiri zaidi wanawake na watoto, na pia vijana wa kiume ambao takwimu zimekua zikionesha kuwa ndio watendaji wakubwa wa vitendo vya…
As we kick off the year 2024, we urge the government, stakeholders, and the community to devise collaborative strategies aimed at reducing the acts of Gender Based Violence (GBV) that disproportionately affect women, children, and also young men, who statistics…
Kamati ya Wadau wa Habari Zanzibar (ZAMECO) imekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na maendeleo ya sekta ya habari, changamoto na hatua zilizofikiwa katika kuendeleza sekta hiyo muhimu katika ujenzi wa jamii inayozingatia usawa, maendeleo, haki za binadamu na inayojali misingi…
The Zanzibar Media Stakeholders Committee (ZAMECO) convened to discuss various issues related to the development of the media sector, challenges faced, and progress made in advancing this crucial sector for building a society that upholds equality, development, human rights, and…
Jamii inahitaji kutafuta mbinu za kupambana na vitendo vya udhalilishaji ambavyo vinaripotiwa kuongezeka kiasi cha kuwa na matukio zaidi ya 150 kwa mwezi mmoja tu. Kwa mujibu wa ripoti ya Mtakwimu Mkuu Zanzibar, inaonesha kuwa ndani ya mwezi Octoba matukio…
The society needs to find ways to combat the increasing incidents of Gender Based Violence (GBV) which are reported to be exceeding 150 complaints in just a month. According to the report from the Chief Statistician of Zanzibar 199 incidents,…
Wazee wanashauriwa kuchukua hadhari kubwa katika kuwalinda watoto dhidi ya vitendo vya udhalilishaji katika kipindi hichi cha likizo ya mwezi Disemba inayoambatana na sikukuu za Krismasi na mwaka mpya. Kwa mujibu wa ripoti ya Mtakwimu Mkuu Zanzibar, inaonesha kuwa ndani…