7/11/2024 Jumla ya waandishi wa habari 30 wa Unguja na Pemba kutoka vyombo mbalimbali vya habari wamepatiwa mafunzo ya siku mbili kuweza kuandika kwa umahiri habari za wanawake na uongozi katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Mafunzo hayo yameandaliwa na…
16/10/2024.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:WATOTO WA KIKE WASHIRIKISHWE KWENYE UONGOZIChama cha Waandishi wa habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kwakushirikiana na Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA), Jumuiya yaWanawake wenye Ulemavu Zanzibar (JUWAUZA) na Jumuiya ya Mazingira, Jinsia naUtetezi Pemba…
Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike duniani, wadau wa michezo kwamaendeleo Zanzibar ambao ni Jumuiya ya wanasheria wanawake Zanzibar (ZAFELA),Kituo cha mijadala kwa vijana (CYD) na Chama cha Waandishi wa Habari WanawakeTanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kwa kushirikiana…
Zanzibar- Sept 28, 2024Siku ya haki ya kujua huadhimishwa kila mwaka ifikapo tarehe 28 Septemba, kwalengo la kukuza uelewa kwa wananchi na hata waandishi wa habari juu ya haki hii,kwani imekuwa ni changamoto kupata taarifa muhimu pale wananchi au waandishiwa…
TAMWA ZNZ YAWAPONGEZA TIMU YA WARRIOR QUEENS KUSHIRIKI MECHI YA KLABU BINGWA AFRIKA, ETHIOPIA Watekelezaji wa program ya Michezo kwa Maendeleo (S4D) wanawatakia kila la kheri timu ya Warrior Queens ya Saateni, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja katika mashindano ya…
BONANZA LA MICHEZO NA MAZOEZI KUFANYIKA PEMBA: JULAI20 – 28, 2024Katika kuadhimisha miaka 10 ya klabu ya mazoezi ya Gombani(Gombani Fitness club), klabu hiyo kwa kushirikiana naChamaChaWaandishi wa Habari Wanawake Tanzania Zanzibar (TAMWA-ZNZ)na Shirika ka Bima la Zanzibar wameandaa bonanza…
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Vikundi 42 vya Watu Wenye Ulemavu Vyajiimarisha kiuchumi KupitiaiSAVE KIJALUBA Wanachama Wanufaika na Mafunzo na MikopoJumla ya shilingi milioni 143,077,862 zimekusanywa katika mzunguko wa kwanzawa mwaka mmoja kwa vikundi 42 vya kuweka na kukopa vya…
Ni katika kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika ZanzibarCHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWAZNZ)kwa kushirikiana na Idara ya Michezo, Jumuiya ya Wanasheria WanawakeZanzibar (ZAFELA), Taasisi ya Maendeleo ya Mashirikiano ya Ujerumani (GIZ)na Kituo cha Mijadala kwa Vijana…
12/6/2024 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI JESI LA POLISI LATAKIWA KUHARAKISHA UPELELEZI TUKIO LA KUVAMIWAKWA MWANAHARAKATIJumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA) pamoja na Chama cha Waandishi wahabari Wanawake Tanzania Zanzibar, (TAMWA ZNZ) inaliomba Jeshi la Polisi nchinikuharakisha upelelezi wa kuvamiwa…
Kamati ya Wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO) inapendakuwashukuru wadau wote wa habari na mashirika ya utetezi wa haki zabinaadamu kwa kushiriki katika maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombovya Habari duniani tarehe 3 Mei ambapo kwa Zanzibar yalifanyika…