7/11/2024 Jumla ya waandishi wa habari 30 wa Unguja na Pemba kutoka vyombo mbalimbali vya habari wamepatiwa mafunzo ya siku mbili kuweza kuandika kwa umahiri habari za wanawake na uongozi katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Mafunzo hayo yameandaliwa na…
Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (tamwa – zanzibar) P. O. Box 741 Tunguu Zanzibar, info@tamwaznz.or.tz: www.tamwaznz.or.tz JOB VACANCY DATE: 28th OCT, 2024 POST: OFFICE COORDINATOR LOCATION: PEMBA Tanzania Media Women’s Association (TAMWA), Zanzibar calls for applications from committed…
16/10/2024.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:WATOTO WA KIKE WASHIRIKISHWE KWENYE UONGOZIChama cha Waandishi wa habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kwakushirikiana na Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA), Jumuiya yaWanawake wenye Ulemavu Zanzibar (JUWAUZA) na Jumuiya ya Mazingira, Jinsia naUtetezi Pemba…
Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike duniani, wadau wa michezo kwamaendeleo Zanzibar ambao ni Jumuiya ya wanasheria wanawake Zanzibar (ZAFELA),Kituo cha mijadala kwa vijana (CYD) na Chama cha Waandishi wa Habari WanawakeTanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kwa kushirikiana…
Wanawake wenye nia ya kugombea nafasi za uongozi nchini wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi za uongozi na kuepuka vikwazo vinavyyowekwa na baadhi ya watu wenye nia ya kurudisha nyuma ushiriki wa wanawake wa kufikia lengo la usawa wa 50 kwa 50…
Zanzibar- Sept 28, 2024Siku ya haki ya kujua huadhimishwa kila mwaka ifikapo tarehe 28 Septemba, kwalengo la kukuza uelewa kwa wananchi na hata waandishi wa habari juu ya haki hii,kwani imekuwa ni changamoto kupata taarifa muhimu pale wananchi au waandishiwa…
Leo tarehe 26 Septemba 2024, Naibu Balozi ambae pia ni Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano wa Denmark nchini Tanzania Lise Abildgaard Sorensen ametembelea ofisi za TAMWA Zanzibar zilizopo Tunguu, Wilaya ya Kati Unguja na kufanya mazungumzo na watendaji wa ofisi…
TERMS OF REFERENCE TO DEVELOP A CURRICULUM FOR TRAINING JOURNALISTS Post Title: Consultant Assignment: Development of Curriculum for training Journalists Project Title: Zanzibar Women’s Leadership in Adaptation Project (ZanzAdapt) Location: Zanzibar Date: 6th September, 2024 Tanzania Media Women’s Association is…
Akichangia mada katika mjadala kwenye maadhimisho hayo amesema, “vyama vingi vya siasa haviwasaidii Wanawake kundokana na viti maalum.” “Kuna mtu unakuta yupo amegombea kiti maalum miaka mitano hii na mingine na bado yupo hapo hapo wakati inatakiwa mtu agombee miaka…
Lengo la ziara hii ni kukagua maendeleo ya programu na kukutana na waandishi wa habari wachanga na kubadilishana mawazo katika baadhi ya mada ambazo wameziandaa kwa ajili ya kufanya uchechemuzi kwenye masuala ya wanawake na uongozi kwa ujumla.@nedemocracy
