Katika juhudi za kuimarisha ushiriki wa wanawake katika uongozi na kukuza haki za kidemokrasia, Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA- ZNZ) kimetoa mafunzo ya siku mbili kwa Wahamasishaji Jamii (Citizen Brigades) wapatao 60 kwa upande Unguja ambapo…
8/11/2024 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIZAMECO YALAANI UTENGENEZWAJI NA USAMBAZWAJI WA MAUDHUIYASIOFAA KATIKA MITANDAO YA KIJAMIIKamati ya wataalamu wa masuala ya Habari Zanzibar (ZAMECO) inayoundwa na Chamacha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA- Zanzibar), Baraza la HabariTanzania (MCT), Jumuiya ya…
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: TAMWA ZNZ yazindua Tuzo ya uwiano wa kijinsia kwa Vyombo vyaHabari: “Kalamu Yangu, Mchango Wangu kwa Wanawake.” Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kwakushirikiana na Jumuiya ya Wanawake wenye Ulemavu Zanzibar…
7/11/2024 Jumla ya waandishi wa habari 30 wa Unguja na Pemba kutoka vyombo mbalimbali vya habari wamepatiwa mafunzo ya siku mbili kuweza kuandika kwa umahiri habari za wanawake na uongozi katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Mafunzo hayo yameandaliwa na…
Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (tamwa – zanzibar) P. O. Box 741 Tunguu Zanzibar, info@tamwaznz.or.tz: www.tamwaznz.or.tz JOB VACANCY DATE: 28th OCT, 2024 POST: OFFICE COORDINATOR LOCATION: PEMBA Tanzania Media Women’s Association (TAMWA), Zanzibar calls for applications from committed…
16/10/2024.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:WATOTO WA KIKE WASHIRIKISHWE KWENYE UONGOZIChama cha Waandishi wa habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kwakushirikiana na Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar (ZAFELA), Jumuiya yaWanawake wenye Ulemavu Zanzibar (JUWAUZA) na Jumuiya ya Mazingira, Jinsia naUtetezi Pemba…
Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike duniani, wadau wa michezo kwamaendeleo Zanzibar ambao ni Jumuiya ya wanasheria wanawake Zanzibar (ZAFELA),Kituo cha mijadala kwa vijana (CYD) na Chama cha Waandishi wa Habari WanawakeTanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kwa kushirikiana…
Wanawake wenye nia ya kugombea nafasi za uongozi nchini wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi za uongozi na kuepuka vikwazo vinavyyowekwa na baadhi ya watu wenye nia ya kurudisha nyuma ushiriki wa wanawake wa kufikia lengo la usawa wa 50 kwa 50…
Zanzibar- Sept 28, 2024Siku ya haki ya kujua huadhimishwa kila mwaka ifikapo tarehe 28 Septemba, kwalengo la kukuza uelewa kwa wananchi na hata waandishi wa habari juu ya haki hii,kwani imekuwa ni changamoto kupata taarifa muhimu pale wananchi au waandishiwa…
Leo tarehe 26 Septemba 2024, Naibu Balozi ambae pia ni Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano wa Denmark nchini Tanzania Lise Abildgaard Sorensen ametembelea ofisi za TAMWA Zanzibar zilizopo Tunguu, Wilaya ya Kati Unguja na kufanya mazungumzo na watendaji wa ofisi…